About this app
Pata Habari mbalimbali kutoka nchiniTanzania Bure kupitia Bongo News.
Bongo News inakupa
Habari za Kisiasa
Habari za Kitaifa
Habari za Biashara
Habari za Afrika mashariki
Habari za Afrika
Habari za Utamaduni na Michezo pia
zianapatika kupitia App hii
Kupitia App hii utaweza kujulishwa kwa alarm kwa kila Habari mpya inayo wasili nchini Tanzania.
pia utaweza kufanya Uchambuzi wa Habari mbalimbali Katika ukurasa wetu wa Uchambuzi
Ambako utakutana na watanzania wengine kutoka
pande mbalimbali za Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Download App hii sasa kupata kila habari inayo wasili Tanzania sasa.