Nyimbo Za Kristo
  • 4.8

Nyimbo Za Kristo

  • 最新バージョン
  • Awesomecode Tanzania

Nakala ya nyimbo za ibada za waadventista wasabato kwa lugha ya kiswahili。

このアプリについて

Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote、Nyimbo za kuburudisha、kutia moyo na kukufariji wakati wahuzuni。



Sifa za program ni kama zifuatazo:-

•Inahusishaeneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili、kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani yawimbo。

•Inakuwezeshakuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyokuupata
kwa urahisi wakati mwingine、pia unaweza kuuondoa pale unapoonainafaa。

•イナクウェゼシャクオナニンボクワマクンディ。


•Inakuwezeshakufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti(hymnserve.comに感謝します
伴奏)。

•Inakuwezeshakucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu

•Inakuwezeshakuona wimbo unaocheza

•Inakuwezeshakukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa。

•Inakuwezeshakuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwakuuangaza。

•Inakuwezeshakushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwaurahisi。

•Inakuwezeshakubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingiraya。
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumizamacho。
Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva na Godfrey Diva kwa
utukufu waMungu。

バージョン Nyimbo Za Kristo