Nyimbo za Kristo

Nyimbo za Kristo

  • Versi Terbaru
  • Joshua Kanyamanza

Aplikasi ya kitabu cha Nyimbo za Kristo, pamoja na mp3 ya kila wimbo

Tentang aplikasi ini

Hii ni programu tumishi isiyohitaji mtandao (aplikasi offline) kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa nyimbo za Kristo zote za kiadventista (SDA Swahili himne) kama zilivyo pangiliwa katika kitabu.
Program hii ya Nyimbo za Kristo inakuja ikiwa ina mp3 ya kila wimbo isipokua nyimbo chache tu, Pia program itamurahisishia mtumiaji kuweza kufahamu namba ya wimbo husika katika vitabu vingine (kwamfano kitabu kikubwa cha Nyimbo za Kristo)

Versi Nyimbo za Kristo