Hisnul Muslim Swahili

Hisnul Muslim Swahili

  • Versi Terbaru
  • Hassan Lyawile

Program hii ni kwa ajili ya kujifunza au kujikumbusha adhikari mbalimbali.

Tentang aplikasi ini

Programu hii inaundwa na mkusanyiko wa hadits sahihi kwa ajili ya muislam kusoma kila siku na pia wakati maalum. Hadithi hizi zimechukuliwa kutoka katika kitabu kiitwacho Hisn Muslim kilichoandikwa na Sheikh Sa'id bin Ali bin Wahf Al-Qahtani(Mwenyezi Mungu amrehemu).

Versi Hisnul Muslim Swahili