Nyimbo za Kristo

Nyimbo za Kristo

  • Última versión
  • Joshua Kanyamanza

Aplicación ya kitabu cha Nyimbo za Kristo, pamoja na mp3 ya kila wimbo

Acerca de esta aplicación

Hii ni programu tumishi isiyohitaji mtandao (aplicación fuera de línea) kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa nyimbo za Kristo zote za kiadventista (SDA Swahili himnario) kama zilivyo pangiliwa katika kitabu.
Program hii ya Nyimbo za Kristo inakuja ikiwa ina mp3 ya kila wimbo isipokua nyimbo chache tu, Pia program itamurahisishia mtumiaji kuweza kufahamu namba ya wimbo husika katika vitabu vingine (kwamfano kitabu kikubwa cha Nyimbo za Kristo)

Versiones Nyimbo za Kristo